Friday, January 22, 2016

NYOTA WA KIKAPU WA MALAWI KUZIKABILI TIMU ZA JIJINI DAR ES SALAAM

Mratibu wa Sprite BBall Kitaa Karabani Karabani akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar-es- Salaam kuhusu mechi za kirafiki zitakazochezwa Jumamosi na Jumapili katika uwanja wa BBK Park na timu kutoka Malawi. Wa kwanza kulia waliokaa ni mkurugenzi wa ufundi chama cha mpira wa kikapu Malawi Obed Nyirongo, wengine ni wachezaji wa timu ya Bricks na Brave Hearts. 

Mkurugenzi wa ufundi chama cha mpira wa kikapu Malawi Obed Nyirongo kiongeana waandishi wa wa habari leo jijini Dar-es- Salaam kuhusu mechi za kirafiki zitakazochezwa Jumamosi na Jumapili katika uwanja wa BBK