Sunday, February 28, 2016

CAPITAL ONE CUP FINAL LIVE: LIVERPOOL 1 v 1 MANCHESTER CITY

Philippe Coutinho dakika ya 83 aliisawazishia bao Liverpool kwa kwa kufanya 1-1, Kipindi cha pili kilimalizika kwa sare ya 1-1 (Liverpool 1, Manchester City 1). Na Mtanange kwenda 120 nazo kipindi cha dakika 30 nusu yake 15 zilicheza bila kufungana. Fernandinho akishangilia bao lake dakika ya 49 Mbele ya Mashabiki wa City kwenye Uwanja wa Wembley leo kwenye Fainali ya Capital One Cup.Mpaka mapumziko Liverpool 0 - 0 Man City
VIKOSI:
Liverpool XI:
Mignolet, Clyne, Lucas, Sakho, Moreno, Can, Henderson, Milner, Firmino, Coutinho, Sturridge
Liverpool akiba: Bogdan, Toure, Benteke, Lallana, Allen, Origi, Flanagan
Manchester City XI: Caballero, Sagna, Kompany, Otamendi, Clichy, Fernando, Fernandinho, Toure, Silva, Sterling, Aguero
Man City akiba: Hart, Kolarov, Zabaleta, Demichelis, Navas, Iheanacho, Bony