Wednesday, February 3, 2016

COPA DEL REY: BARCELONA 7 v 0 VALENCIA, LIONEL MESSI NA LOUIS SUAREZ WAPIGA HAT-TRICK! WAKIICHAKAZA TIMU MBELE YA GARY NA NDUGU YAKE PHIL NEVILLE!


Barcelona bao zake mpaka sasa zimefungwa na Luis Suárez dakika ya 7 na tena alifunga bao Luis Suárez dakika ya 12'
Dakika ya 29 Lionel Messi alipachika bao la tatu na kufanya bao kuwa 3-0 dhidi ya Valencia. Kipindi cha pili dakikaya 58 Lionel Messi alipachika bao tena na kupa 4-0 Barca. Tena dakika ya 74
Lionel Messi aliwatungua bao jingine la tano (Bao tatu) Hat-trick na kuiwezesha Barca kuishindilia kisawasawa bao hizo tano mbele ya Mashabiki 60,635.
TASWIRA KAMILI YA MABAO
Luis Suárez 7'
Luis Suárez 12'
Lionel Messi 29'
Lionel Messi 58'
Lionel Messi 74'
Luis Suárez 83'
Luis Suárez 88'
Neymar akimpongeza MessiWanandugu hawa Gary ana Phil Neville wakiwa hoi ndani ya Nou Camp kwa Kichapo hicho balaa kutoka kwa Mastaa wawili tu!

Gary Neville Embedded image permalinkVIKOSI:
Barcelona Akiba:
Rakitic, Bartra, Munir, Roberto, Correia, Vermaelen, Masip

Valencia Akiba:
Negredo, Feghouli, Mina, Domenech, Cheryshev, Zahibo