Monday, February 22, 2016

EMIRATES FA CUP-DROO YA ROBO FAINALI: YAFANYIKA. EVERTON v CHELSEA, MAN UNITED AKIFUNGA LEO KUIKARIBISHA WEST HAM.

DROO ya kupanga Mechi za Raundi ya 6 ambazo ndio Robo Fainali ya Kombe Kongwe Duniani, FA CUP, ambalo sasa linaitwa EMIRATES FA CUP baada ya udhamini wa Kampuni ya Ndege ya UAE, Emirates Airlines, imefanyika Leo huko Stamford Bridge mara baada ya Chelsea kuitwanga Man City 5-1 kwenye Mechi ya Raundi ya 5 ya Kombe hili.
Mechi za Robo Fainali zitachezwa Wikiendi ya Machi 12.
DROO KAMILI:
Shrewsbury au Manchester United v West Ham
Arsenal au Hull City v Watford
Everton v Chelsea
Reading v Crystal Palace
THE EMIRATES FA CUP 2015/16
TAREHE MUHIMU
Raundi ya 6-Robo Fainali
Jumamosi 12 Machi 2016
Nusu Fainali
Jumamosi 23 Aprili 2016 & Jumapili 24 Aprili 2016
Fainali