Friday, February 19, 2016

FULL TIME: EUROPA LEAGUE...AUGSBURG 0 v 0 LIVERPOOL

LIVERPOOL wametoka Sare ya 0-0 na Augsburg katika Mechi ya kwanza ya Raundi ya Mtoano ya Timu 32 ya UEFA EUROPA LIGI iliyochezwa huko Germany.
Hii ni Mechi ya kwanza ya Meneja wa Liverpool, Jurgen Kloop, ambae ni Mjerumani, kuiongoza Timu yake kucheza huko kwao.
Timu hizi zitarudiana huko Anfield Jijini Liverpool Wiki ijayo.
Kikosi cha Liverpool kilichoanza

EUROPA LIGI
Raundi ya Mtoano ya Timu 32
Ratiba/Matokeo:
Jumanne Februari 16

Fenerbahce 2 vs Lokomotiv Moscow 0
Alhamisi Februari 18
Sevilla 3 vs Molde 0
Villarreal 1 vs Napoli 0
Borussia Dortmund 2 vs Porto 0
Anderlecht 1 vs Olympiacos 0
Fiorentina 1 vs Tottenham 1
St Etienne 3 vs Basle 2
Midtjylland 2 vs Manchester United 1
Valencia 6 vs Rapid Vienna 0
Augsburg 0 vs Liverpool 0

Sparta Prague 1 vs Krasnodar 0
Galatasaray 1 vs Lazio 1
Sion 1 vs Braga 2
Shakhtar Donetsk 0 vs Schalke 0
Marseille 0 vs Athletic Bilbao 1
Sporting Lisbon 0 vs Bayer Leverkusen 1