Friday, February 26, 2016

JUMAPILI FAINALI YA KOMBE LA CAPITAL ONE CUP, WACHEZAJI WA MAN CITY WAWAFANYIA MAZOEZI YA NGUVU LIVERPOOL.

Jumapili ipo Fainali ya Kombe la Ligi, Capital One Cup kati ya Liverpool na Man City Uwanjani Wembley Jijini London. Bila ya Timu kupata mapumziko ya kutosha, Timu zote 20 za BPL zitatinga tena Viwanjani kucheza Mechi za Ligi na Bigi Mechi katika duru hili ni Jumatano huko Anfield wakati Liverpool wakicheza tena na Man City ndani ya Siku 3.Meneja wa Man CityMeneja PeleWakipata somo kutoka kwa Kocha Wachezaji wa Man City wakifanya mazoezi tayari kwa mpambano dhidi yao na LiverpoolKevin DeKevin akisepa