Friday, February 26, 2016

JUMAPILI NI CAPITAL ONE CUP-FAINALI NI LIVERPOOL v MANCHESTER CITY

Wembley Stadium, London
Jumapili Februari 28
19:30 Liverpool vs Man City
Wembley Stadium, London
Jumapili Februari 28
19:30 Liverpool vs Man City
Bila ya Timu kupata mapumziko ya kutosha, Timu zote 20 za BPL zitatinga tena Viwanjani kucheza Mechi za Ligi na Bigi Mechi katika duru hili ni Jumatano huko Anfield wakati Liverpool wakicheza tena na Man City ndani ya Siku 3.