Friday, February 12, 2016

KAGERA SUGAR WAUTAMANI UWANJA WA KAITABA BUKOBA.

Uwanja wa Kaitaba ulivyo hivi sasa baada ya kuwekewa Nyasi Bandia tayari kwa Ligi Kuu
Enzi hizo Kaitaba kabla Uwanja haujabadilishwa kujengwa kwa kiwango cha Nyasi za Bandia walipokuwa wakifanya mazoezi kujiandaa na Mchezo wa Ligi Kuu England.