Sunday, February 14, 2016

LA LIGA: BARCELONA 6 vs 1 CELTA VIGO, LUIS SUAREZ APIGA HAT-TRICK BARCA IKIPAA ZAIDI KILELENI!

Barcelona  BAO zake zimefungwa na
Lionel Messi dakika ya 28
Luis Suárez
dakika ya 59'
Luis Suárez
dakika ya 75'
Luis Suárez
dakika ya 81'
Ivan Rakitic
dakika ya 84' 
Neymar
dakika ya 90' +1'
Luis Suárez dakika ya 75 kapiga bao la tatu na kufanya 3-1  
Luis Suárez dakika ya 59 aliipachikia bao la pili na kufanya Barca iongoze 2-1 dhidi ya Celta Vigo. 
John Guidetti aliisawazishia Celta Vigo bao dakika ya 39 kwa mkwaju wa penati na kufanya ziende mapumziko kwa sare ya 1-1.
John Guidetti aliisawazishia Celta Vigo bao dakika ya 39 kwa mkwaju wa penati na kufanya ziende mapumziko kwa sare ya 1-1.Lionel Messi dakika ya 28 alipatia bao la kuongoza kwa mpira wa adhabu(friikiki) Barca dhidi ya Celta Vigo.

Lionel Messi akipongezana na Suarez

Messi akimfunga kipa  Sergio

Messi akishangilia bao lake

Messi akishangilia kwa sana na kutoa tabasamu la nguvu

Neymar na Dani Alves wakimpongeza Messi
Luis Suarez akipongezana na Suarez

Celta Vigo straika John Guidetti akishangilia kwa kusawazisha

John Guidetti alifanya 1-1

Patashika!

Gustavo akimvuta jezi Suarez

Guidetti akinyemelea...

Neymar akiendesha mpira

Jordi Alba, Sergio Busquets na Andres Iniesta swakipata neno kutoka kwa Refa