Saturday, February 27, 2016

LA LIGA, REAL MADRID 0 v 1 ATLETICO MADRID, ANTOINE GRIEZMANN AITUNGUA REAL BERNABEU!

Ronaldo apagawa tena kwa kichapo!BAO la Dakika ya 53 la Antoine Griezmann limewapa Atletico Madrid ushindi wa Bao 1-0 walipocheza na Mahasimu wao Real Madrid waliokuwa Nyumbani kwao Santiago Bernabeu katika Mechi ya La Ligi ambayo hubatizwa ‘El Derbi Madrileno’.
Ushindi huu, ambao ni wa kwanza kwa Meneja wa Real Zinedine Zidane tangu atwae wadhifa, umewachimbia Atletico Nafasi ya Pili wakiwa Pointi 5 nyuma ya Vinara Barcelona na Real kubaki Nafasi ya 3 wakiwa Pointi 4 nyuma ya Atletico.


Cristiano Ronaldo
James Rodriguez

 Keylor Navas

Zinedine Zidane na Diego Simeone

Sergio Ramos akichuana vikali na  Saul Niguez

Ronaldo

Antoinne Griezmann (ndiye aliyeizima Real)

Antoine Griezmann dakika ya 53 aliwafunga Real bao na kufanya Timu ya Atletico kuongoza kwa bao 1-0