Saturday, February 6, 2016

BARCLAYS PREMIER LEAGUE: LIVERPOOL 2 v 2 SUNDERLAND, ADAM JOHNSON NA JERMAIN DEFOE WAFANYA MAAJABU ANFIELD!! WSAWAZISHA BAO DAKIKA ZA LALA SALAMA NA KUUMALIZA KWA SARE! MASHABIKI WAKIONDOKA UWANJANI KUTOKANA NA BEI KUWA JUU!

Ndani ya Anfield, England
Mashabiki: 44179

Liverpool wanaongoza kwa bao 1-0, Bao lililofungwa kipindi cha pili na 
Roberto Firmino dakika ya 59'


Sunderland bbao zake za kusawazisha zimefungwa na Adam Johnson dakika ya 82 na bao jingine limefungwa na Jermain Defoe dakika za majeruhi dakika ya 89'