Friday, February 26, 2016

DROO YA EUROPA LEAYAFANYIKA HII LEO IJUMAA, LIVERPOOL WAPANGWA NA MANCHESTER UNITED!

Manchester United wamepangwa kucheza na Liverpool kwenye Raundi ya Mtoano ya Timu 16 ya UEFA EUROPA LIGI.
Droo ya Raundi hii imefanyika Leo Mjini Nyon, Uswisi.
Mechi za kwanza za Raundi hii zitafanyika Alhamisi Machi 10 na Marudiano ni Machi 17.
Man United wataanzia Ugenini huko Anfield na kumalizia kwao Old Trafford.
Msimu huu Man United na Liverpool zishakutana kwenye Ligi Kuu England na Man United kushinda Mechi zote mbili, 3-1 ndani ya Old Trafford na 1-0 huko Anfield.
Timu nyingine ya England ambayo ipo hatua hii ni Tottenham ambayo imepangwa kucheza na Borussia Dortmund ya Germany.
Round of 16. Ties to be played March 10 and 17:

The final is at St. Jakob-Park stadium, Basel, in Switzerland on May 18.
Braga (Portugal)
Manchester United (England)
Valencia (Spain)
Sparta Prague (Czech Republic)
Lazio (Italy)
Shakhtar Donetsk (Ukraine)
Athletic Bilbao (Spain)
Bayer Leverkusen (Germany)
Liverpool (England)
Tottenham Hotspur (England)
Fenerbahce (Turkey)
Basel (Switzerland)
Borussia Dortmund (Germany)
Sevilla (Spain)
Villarreal (Spain)
Anderlecht (Belgium)