Tuesday, February 23, 2016

FULL TIME...UEFA CHAMPIONS LEAGUE: ARSENAL 0 v 2 BARCELONA, ABRACADABRA!! LIONEL MESSI AMTEMEA CHECHE CECH! WENGER AKUBALI MUZIKI WA BARCA!!

Arsenal walipigana kwa Barca kwenye Mechi ya Kwanza ya Raundi ya Mtoano ya Timu 16 ya UEFA CHAMPIONS LIGI, UCL, dhidi ya Mabingwa Watetezi FC Barcelona, Arsenal walijikuta wakibwagwa 2-0 kwa Bao za Lionel Messi.
Bao la kwanza la Barca, ambalo ni Bao la kwanza kwa Messi kumfunga Kipa Petr Cech katika Mechi 7, lilifungwa Dakika ya 71 na Messi kufuatia ushirikiano mwema kati ya Luis Suarez na Neymar.
Barca walifunga Bao la Pili katika Dakika ya 83 kwa Penati ya Messi ambayo ilitolewa baada ya Mathieu Flamini kumwangusha Messi.
Timu hizi sasa zitarudiana huko Nou Camp hapo Machi 16.

Abracadabra! Messi akishangilia moja ya bao lake2-0 MessiLionel Messi kipindi cha pili dakika ya 71 aliipatia bao la kuongoza Barca kwa kufanya 1-0 dhidi ya Arsenal baada ya kupata pasi safi kutoka kwa Neymar, Dakika ya 83 Barca walipata penati na Messi kuifunga penati hiyo hivyo kuwafanya Barca waongoze kwa bao 2-0 dhidi ya Timu ya Arsenal ambayo ilikuwa kwenye Uwanja wake wa Emirates. Mpaka dakika 90 zinamalizika Arsenal 0  Barcelona 1.Nini!Luis Suarez chupuchupu apate bao!Hadi mapumziko ilikuwa 0-0SuarezLionel Messi Kikosi cha ArsenalKikosi cha Barcelona
MashabikiMeneja wa BarcaArsene Wenger Meneja wa ArsenalDani AlvesKipindi cha kwanza kikiendelea...Taswira kamili ya Uwanja Emirates ndani Kikosi cha ArsenalKikosi cha BarcelonaKipute kimeanzaOxlade-Chamberlain kuanza kwa Arsenal
VIKOSI:
Arsenal Wanaoanza XI

Cech, Bellerin, Mertesacker, Koscielny, Monreal, Ramsey, Coquelin, Oxlade-Chamberlain, Ozil, Sanchez, Giroud.
Barcelona wanaoanza XI
Ter Stegen, Alves, Pique, Mascherano, Alba, Busquets, Rakitic, Iniesta, Neymar, Suarez, Messi.