Wednesday, February 24, 2016

UEFA CHAMPIONS LEAGUE..DYNAMO KIEV 1 v 3 MANCHESTER CITY, SERGIO AGUERO, SILVA NA YAYA TOURE WAIPA USHIND CITY!

Vitaliy Buyalsky 58 aliisaidia Timu yao Dynamo Kiev kupata bao la kwanza na kutengeneza matokeo ya 2-1. Dakika ya 90 Yaya Toure aliipa bao la tatu na dakika kumalizika 90 kwa City kuibuka kidedea kwa bao 3-1 dhidi ya Timu ya Dynamo Kiev.
Silva dakika ya 40 alifanya 2-0 dhidi ya Dynamo Kiev
Sergio Ag├╝ero dakika ya 15 kipindi cha kwanza anaipa bao la kuongoza Manchester City na kufanya bao kuwa 1-0 dhidi ya Timu ya Dynamo Kiev baada ya kupigwa kona
VIKOSI:
Dynamo Kiev wanaoanza XI :
Shovkovskiy, Danilo Silva, Dragovic, Vida, Khacheridi, Rybalka, Garmash, Gonzalez, Buyalskiy, Yarmolenko, Teodorczyk
Dynamo Kiev akiba: Rudko, Makarenko, Miguel Veloso, Petrovic, Korzun, Gusev, Junior Moraes.
Manchester City wanaoanza XI: Hart, Sagna, Kompany, Otamendi, Clichy, Fernando, Fernandinho, Toure, Silva, Sterling, Aguero
Man City akiba: Caballero, Demichelis, Zabaleta, Mangala, Kolarov, M.Garcia, Iheanacho