Thursday, February 18, 2016

UEFA EUROPA LEAGUE: FC MIDTJYLLAND 2 v 1 MANCHESTER UNITED, MNIGERIA PAUL ONUACHU AICHAPA TIMU YA VAN GAAL DENMARK!

Paul Onuachu dakika ya 77 aliwafunga bao la pili Man United na kufanya bao kuwa 2-1 Pione Sisto akishangilia bao lake dakika ya 44 la kusawazishaPatashika zikiendelea kipindi cha kwanza...Depay alifunga bao la kwanza kwa Man United lakini bao hilo halikuweza kudumu kwani Timu ya FC Midtjylland ililisawazisha dakika za mwisho za kipindi cha kwanza na kwend mapumziko zikiwa sare ya 1-1 dhidi ya Man United. Bao la Man United lilifungwa na Memphis Depay dakika ya 37.Kipindi cha kwanza kinaendelea...MCH Arena, Denmark
FC Midtjylland  vs Manchester United