Saturday, February 13, 2016

FULL TIME: CHELSEA 5 v 1 NEWCASTLE UNITED, NEWCASTLE YANYOLEWA LEO NA BLUES!

Willian dakika ya 17 aliipa Chelsea bao jingine nakufanya bao kuwa 3-0 dhidi ya Newcastle United.

Pedro dakika ya 9 aliwatoka mabeki wa Newcastle na kuwafunga bao na kuitangulizia Blues bao kwa kufanya 2-0Diego Costa dakika ya 5 alifunga bao la kwanza na kufanya 1-0Hazard kuanza kipindi cha kwanza.VIKOSI:
Chelsea Wanaoanza XI:
Courtois, Ivanovic, Cahill, Terry, Azpilicueta, Fabregas, Matic, Pedro, Willian, Hazard, Diego Costa
Chelsea Akiba: Begovic, Baba, Mikel, Traore, Kenedy, Remy, Loftus-Cheek
Newcastle Wanaoanza XI: Elliot, Janmaat, Taylor, Coloccini, Aarons, Tiote, Shelvey, Sissoko, Wijnaldum, Townsend, Mitrovic
Newcastle Akiba: Colback, Lascelles, Perez, Saivet, Darlow, Doumbia, Riviere.