Sunday, February 14, 2016

FULL TIME: COASTAL UNION 1 v 0 AZAM FC, MIRAJI ITUNGUA AZAM NA KUVUNJA MWIKO MKWAKWANI TANGA!

Dakika ya 67 Coastal Union wanapata bao la kwanza 1-0, Bao lililofungwa na Miraji Adam kwa mpira wa adhabu ndani ya 18 baada ya kipa wa Azam Fc kuumia na kubaki na mpira mkononi.

Coastal union sasa wanafikisha pointi 16.