Wednesday, February 3, 2016

FULL TIME: EVERTON 3 v 0 NEWCASTLE UNITED, LENNON NA ROSS BARKLEY WAITAKATISHA EVERTON NYUMBANI GOODSON PARK LEO!


BARCLAYS PREMIER LEAGUE 3/2/2016

Mbele ya Mashabiki 36,061 ndani ya

Goodison Park, England
BAO za Everton zimefungwa na Aaron Lennon dakika ya 23, 
Ross Barkley dakika ya 88 kwa mkwaju wa penati na pia kwenye dakika za lala salama dakika ya 90
Ross Barkley aliwafungia bao Everton kwa mkwaju wa penati tena na kufanya kipute kumalizika dakika 90 Everton wakiibuka kidedea cha bao 3 - 0 dhidi ya Timu ya Newcastle United.