Saturday, February 13, 2016

LA LIGA: REAL MADRID 4 v 2 ATHLETIC BILBAO, RONALDO

www.bukobasports.comNdani ya uwanja wa Estadio Santiago Bernabéu, Spain
Real Madrid Cristiano Ronaldo kafunga bao dakika ya 3 na Athletic Bilbao walisawazisha bao kupitia kwa  Javier Eraso dakika ya 10 na kufanya bao kuwa 1-1.

Real Madrid Waliongeza bao la pili kupitia kwa James RodrĂ­guez dakika ya 37 na bao la pili lilifungwa na Toni Kroos dakika ya 45.

Toni Kroos(kulia) akishangilia bao lake

James Rodriguez alifanya 2-1

Javier Eraso alitumia nafasi aliyoifanya kimakosa Raphael Varane

Athletic Bilbao walisawazisha kufanya 1-1 ndani ya dakika 10

Eraso akishangilia bao

James akipeta

Ronaldo ndie aliyeanza kufunga bao dakika ya 3

1-0

Ronaldo akishangilia baada ya kuitangulizia bao Real Madrid

Ronaldo alizungukwa na wenzake kupongezwa