Wednesday, February 17, 2016

UEFA CHAMPIONS LEAGUE: AS ROMA 0 v 2 REAL MADRID, CRISTIANO RONALDO NA JESSE WAMPA MATUMAINI ZIDANE WAKIIPA REAL USHINDI LEO!

Ronaldo (kushoto) akishangilia bao lake dakika ya 57Cristiano Ronaldo dakika ya 57 kipindi cha pili anaipachikia bao maridadi na kufanya 1-0 dhidi ya AS Roma baada ya kutokea ushirikiano safi dhidi ya Marcelo. Bao la pili kalifunga Jese dakika ya 86 na kufanya 2-0 dhidi ya Roma baada ya kupata mpira kutoka kwa Luka Modric.Kipindi cha kwanza kinaendelea..VIKOSI:
Roma wanaoanza XI:
Szczesny, Rudiger, Digne, Manolas, Nainggolan, Pjanic, Vainqueur, Florenzi, Perotti, Salah, El Shaarway
Roma akiba: De Sanctis, Maicon, De Rossi, Keita, Dzeko, Totti, Falque
Real Madrid wanaoanza XI: Navas, Varane, Ramos, Marcelo, Carvajal, Kroos, James, Modric, Isco, Ronaldo, Benzema
Real Madrid akiba: Casilla, Nacho, Danilo, Casemiro, Kovacic, Lucas Vazquez, Jese
   Cristiano Ronaldo wa  Real Madrid akiwasili  Stadio Olimpico
Meneja mpya wa  Real Madrid boss Zinedine Zidane kuanza kuifunza real kwenye mtanange wa  Champions Ligi wa kwanza hii leo Stephan El Shaarawy wa  Roma tayari kuanza kukaba hii leo Mkongwe wa Roma Francesco Totti akiwasili  Stadio Olimpico