Tuesday, February 9, 2016

FULL TIME: WEST HAM UNITED 1-1 LIVERPOOL, ANGELO OGBONNA AMFANYIA KITU MBAYA KLOPP!! AIPELEKA RAUNDI YA TANO WEST HAM.

West Ham yaipiga Liverpool 2-1 bao la ushindi likifungwa na Angelo Ogbonna dakika ya 121.Wakipongezana....2-11-1West Ham United walipata bao dakika ya 45 kipindi cha kwanza kupitia kwa Michail Antonio.
Liverpool Philippe walisawazishiwa bao lao na Coutinho dakika ya 48 kipindi cha pili kwa mpira wa adhabu wa frii kiki nakufanya 1-1. Sasa West Ham watacheza raundi ya tano na Ugenini hapo Februari 21 na Blackburn Rovers.
Mechi za Raundi ya 5 ya EMIRATES FA CUP zitachezwa kuanzia Jumamosi Februari 20 na kumalizika Jumatatu Februari 22.
Michail Antonio ndie aliyeifungia bao la kwanza West Ham kabla ya mapumziko
Coutinho alisawazisha mapema kipindi cha pili
Angelo Ogbonna aliipeleka West Ham hatua ya 16 bora ya FA Cup

Ogbonna baada ya kuichinja Liverpool akipeta..

VIKOSI:
West Ham:
Randolph, O'Brien (Moses 83 mins), Reid (Collins 65), Ogbonna, Cresswell, Kouyate (Carroll 75), Noble, Obiang, Antonio, Valencia, Payet
AKIBA: Adrian, Oxford, Cullen, Parfitt-Williams
BAO: Antonio 45, Ogbonna 120

Liverpool: Mignolet, Flanagan, Stewart, Tiago Ilori, Smith, Teixeira (Origi 59), Lucas, Chirivella (Milner 101), Ibe, Benteke, Coutinho (Sturridge 59)
Akiba: Jose Enrique, Henderson, Sturridge, Ward, Randall
BAO: Coutinho 48
Refa: Roger East
Mashabiki: 34,433 
Klopp
Ibe akiwatoka West HamBenteke!! Chupuchupu apate baoYale yale!Mbinu!!!