Tuesday, February 2, 2016

FULL TIME: MANCHESTER UNITED 3 v 0 STOKE CITY, LINGARD, ANTHONY MARTIAL NA WAYNE ROONEY WAWANYAMAZISHA MASHABIKI KELELE OLD TRAFFORD KWA KUIPA USHINDI UNITED NYUMBANI!

Rooney akishangilia bao lake la tatu kwa Man United3-03-0 Rooney Wayne Rooney dakika ya 53 kipindi cha pili aliiwezesha Man United kupachika bao la tatu na kufanya bao kuwa 3-0 dhidi ya Stoke City.3-0 dhidi ya Stoke CityWakipongezana Lingard dakika ya 14 kawapatia bao Man United. Bao la pili limefungwa na Anthony Martial dakika ya 23 kwa shuti kali na kuitangulizia bao Man United kwa kufanya 2-0 dhidi ya Stoke City.Patashika Lingard akiwania mpira wa juu na Mchezaji wa Stoke City Erik Pieters1-0Shangwe!
VIKOSI:
Man United:
De Gea, Darmian, Smalling, Blind, Borthwick-Jackson, Carrick, Fellaini, Lingard, Mata, Martial, Rooney.
Akiba: Depay, Romero, Ander Herrera, Schneiderlin, Varela, McNair, Andreas Pereira.

Stoke City: Butland, Johnson, Wollscheid, Muniesa, Pieters, Whelan, Afellay, Walters, Krkic, Arnautovic, Crouch.
Akiba: Bardsley, Ireland, Odemwingie, Joselu, Diouf, Shaqiri, Haugaard. 

Refa: Roger East Van Gaal


Meneja wa Manchester United Louis van Gaal akiwasili kwenye Hotel ya Lowry

Manchester United  Juan Mata akiwasili
Kipa Namba moja wa Manchester United  David De Gea

Memphis Depay