Saturday, February 6, 2016

MASHABIKI WA LIVERPOOL WAONDOKA UWANJANI DAKIKA YA 77 TIMU IKIWA 2-0, DAKIKA CHACHE BAADAE IKAWA SARE 2-2!

Mashabiki waliondoka Uwanjani dakika ya 77 kama walivyokuwa wamepanga.Afield, Liverpool, wakicheza bila ya Meneja wao Jurgen Klopp ambae ni mgonjwa, waliongoza 2-0 kwa Bao za Dakika za 59 na 70 za Roberto Firmino na Adam Lallana lakini Sunderland wakaja juu na kupiga Bao 2 Dakika za 82 na 89 kupitia Adam Johnson na Jermain Defoe.
Roberto Firmino wa Liverpool alifunga bao nae hapa!

Firmino

Firmino akishangilia mbele ya Mashabiki


Adam Lallana akifanya yake leo hii

  Firmino na Lallana wakipongezana baada ya kufanya  2-0 dhidi ya Sunderland
Mlinda lango Simon Mignolet akidhibiti mpira langoni mwake