Monday, February 29, 2016

MASHINDANO YA TIGO KILI HALF MARATHON YAFANA MJINI MOSHI

Maelfu ya wakazi wa Moshi na wanariadha mbalimbali wakifuatilia mashindano ya Tigo Kili Half Marathon katika mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya chuo cha Ushirika Mjini Moshi
Wafanyakazi wa kampuni ya Tigo wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza mashindano ya Tigo Kili Half Marathon katika mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya chuo cha Ushrika Mjini Moshi

Waziri wa habari, utamaduni, Sanaa na michezo Mhe. Nape mnauye ( katikati mwenye kofia) akisubiri kufungua mbio za Tigo Kili half Marathon 2016, mkoani Kilimanjaro, kulia kwake Meneja masoko Olivier prentout atika mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya chuo cha Ushrika Mjini Moshi .
Wanariadha wa Tigo Kili half Marathon wakisubiri kuanza mbio katika mashindano ya Tigo Kili Half Marathon katika mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya chuo cha Ushrika Mjini Moshi

Wafanyakazi wa kampuni ya Tigo wakikimbia mbio za Tigo half Marathon katika mashindano ya Tigo Kili Half Marathon katika mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya chuo cha Ushrika Mjini Moshi

Meneja chapa Tigo, William Mpinga akimalizia mbio za kilometa 21 katika mashindano ya Tigo Kili Half Marathon katika mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya chuo cha Ushrika Mjini Moshi
Wafanyakazi wa Tigo wakiwa kwenye water point kwa kutoa huduma kwa wakimbiaji katika mashindano ya Tigo Kili Half Marathon katika mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya chuo cha Ushrika Mjini Moshi

Mzee mwenye Umri wa miaka 70 akiungana na wanariadha wenzake katika mashindano ya Tigo Kili Half Marathon katika mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya chuo cha Ushrika Mjini Moshi

Wanariadha mbalimbali wakikimbia katika katika mashindano ya Tigo Kili Half Marathon mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya chuo cha Ushrika Mjini Moshi

Mkurugenzi Mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez nae akionyesha ushirikiano mzuri kabisa na wananchi kwa wa kuungana nao katika mashindano ya Tigo Kili Half Marathon mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya chuo cha Ushrika Mjini Moshi

Mkurugenzi Mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez akipata huduma ya kwanza wakati akikimbia na kumalizia kilomita 42 za kili marathon katika mashindano yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo cha ushirika Mjini Moshi jana

Meneja mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez akimaliza mbio za kilomita 42 za kili marathon katika mashindano yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo cha ushirika Mjini Moshi jana

.Meneja mkuu wa Tigo , Diego Gutierrez akipongezwa na mkiambiaji wenzie Mara baada ya kumaliza mbio za Kilimanjaro marathon za kilomita 42 katika mashindano yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo cha ushirika Mjini Moshi jana

Waziri wa habari, utamaduni, Sanaa na michezo Mhe. Nape mnauye akimkabidhi akimkabidhi hundi ya sh Milion 2 Bernard Matheka (mkenya miaka 27) baada ya kuibuka mshindi kwa upande wa wanaume katika mashindano ya Tigo Kili Half Marathon kwa kukimbia kilometa 21 na kutumia saa 1.14.55 katika mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya chuo cha Ushrika Mjini Moshi

Baadhi ya washiriki waliopata bahati ya kuzawadiwa na Tigo kwenye mbio za Kili Marathon katika mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya chuo cha Ushrika Mjini Moshi