Thursday, February 18, 2016

MPYAA! MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) NA MAARIFA (QT) 2015 YAMETANGAZWA LEO!

Leo Februari 18, 2015 Baraza la Mitihani Tanzania limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne 2015 ambapo ufaulu umeshuka kwa 1.85% toka 69.75% mwaka 2014 hadi 67.91% mwaka 2015. Matokeo haya yamepangwa kwa mfumo wa Division. Bofya Hapa ...