Sunday, February 21, 2016

FULL TIME: EMIRATES FA CUP: CHELSEA 5 v 1 MANCHESTER CITY, CITY LEO WAOGA MVUA YA MABAO DARAJANI!

5-1
Mbele ya Mashabiki 41,594
Chelsea bao limefungwa na Diego Costa dakika ya 35.

Manchester City walisawazisha kupitia kwa David Faupala muda mfupi dakika ya 37 na kufanya kwenda mapumziko zikiwa sare ya 1-1. Kipindi cha pili Chelsea walifunga mabao tena mawili kupitia kwa Willian dakika ya 48 na lile la dakika ya 53 la Gary Cahillna kuongoza kwa bao 3-1 dhidi ya City. 

Hazard dakika ya 67 aliifungia bao la 4 na kufanya bao kuwa 4-1 dhidi ya Chelsea baada ya kupiga mpira wa adhabu (friikiki) uliozama moja kwa moja kwenye lango la City. 

Dakika ya 89 Traore alifanya 5-1 kwa bao la kufunga kichwa maridadi.

Kijana Mwingine wa City akifanya mambo yake
VIKOSI:

Chelsea: Courtois, Azpilicueta, Cahill, Ivanovic, Rahman, Fabregas, Mikel, Pedro, Willian, Hazard, Diego Costa
Chelsea subs: Begovic, Oscar, Traore, Remy, Miazga, Matic, Loftus-Cheek
Manchester City: Caballero, Zabaleta, Adarabioyo, Demichelis, Kolarov, Fernando, A.Garcia, M.Garcia, Celina, Iheanacho, Faupala
Man City subs: Hart, Kompany, Sterling, Clichy, Fernandinho, Barker, Humphreys


City's youngsters will be given a chance to impress against Chelsea on Sunday afternoon