Thursday, February 18, 2016

RAIS MAGUFULI AZUNGUMZA NA WASANII IKULU.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Msanii wa Kundi la Orijino Komedi, Lucas Mhavile, maarufu kwa jina la Joti katika mkutano kati ya Rais John Magufuli na Wasanii uliofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 18, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)