Tuesday, February 16, 2016

UEFA CHAMPIONS LEAGUE: PSG 2 v 1 CHELSEA, EDINSON CAVANI AICHAPA BLUES AKITOKEA BENCHI!

Bao la ushindi kwa PSG lilifungwa na Edinson Cavani alieanzia Benchi Mechi hii na kuingizwa Dakika ya 74 kumbadili Lucas Moura.Edinson Cavani alitokea benchi na dakika ya 78 aliifunga bao la pili Chelsea na kufanya 2-1 baada ya kuwachomoka walinzi wa Chelsea na mtanange kumalizika dakika 90 kwa PSG wakiibuka kidedea kwa bao 2-1 dhidi ya Chelsea kwenye Uwanja wa Parc des Princes huko France. Timu hizi zitarudiana mwezi ujao wa tatu March 9, 2016 siku ya jumatano huko Darajani Stamford Blidge.Chelsea hoi!1-1 Mikel akipongezwaIbrahimovic dakika ya 39 kafunga bao kwa friikiki mpira wa adhabu na dakika ya 45 Mikel ameisawazishia Chelsea kwa kufunga bao la kufanya 1-1 na Timu zote kwenda mapumziko zikiwa nguvu sawa 
www.bukobasports.comVIKOSI:
Paris Saint-Germain wanaoanza XI:
Trapp, Marquinhos, Silva, Luiz, Maxwell, Verratti, Motta, Matuidi, Lucas, Di Maria, Ibrahimovic
PSG akiba: Sirigu, Stambouli, Cavani, Kurzawa, van der Wiel, Rabiot, Pastore
Chelsea wanaoanza XI: Courtois, Azpilicueta, Cahill, Ivanovic, Baba Rahman, Fabregas, Mikel, Pedro, Willian, Hazard, Diego Costa
Chelsea akiba: Begovic, Miazga, Loftus-Cheek, Oscar, Kenedy, Traore, Remy 

Refa: Carlos Velasco Carballo (Madrid)RATIBA