Tuesday, February 9, 2016

VICTOR WANYAMA AMEHARIBU!! KADI NYEKUNDU ZAMWANGAISHA SOUTHAMPTON, ATAKA KWENDA ARSENAL AU SPURS!

Kwanza ameandika rekodi mbaya kwenye Ligi Kuu England baada ya kuwa Mchezaji wa Kwanza kuoneshwa kadi nyekundu tatu kwa msimu mmoja tangu msimu wa 2013/2014. Mchezaji wa mwisho kufanya hivyo alikuwa ni beki Wes Brown Mchezaji wa zamani wa Man United.