Saturday, March 12, 2016

FULL TIME: ENGLISH FA CUP, EVERTON 2 v 0 CHELSEA, LUKAKU AIKAANGA BLUES!! ATUPIA BAO ZOTE MBILI NA KUWADUWAZA MASHABIKI...GOODISON PARK!


LUKAKU kaifungia bao Everton dakika ya 
Romelu Lukaku 77
Romelu Lukaku 82

BAO 2 za Straika wa zamani wa Chelsea Romelu Lukaku zimeiingiza Everton Nusu Fainali ya EMIRATES FA CUP huku Diego Costa wa Chelsea akigubikwa na tuhuma za kumng’ata meno Kiungo wa Everton Gareth Barry wakati Everton ikiichapa 2-0 Chelsea huko Goodison Park Jana.
Lukaka aliipa Bao Everton Dakika ya 77 na jingine Dakika ya 82 kisha Costa kutolewa nje kwa Kadi Nyekundu Dakika ya 84 na Barry nae kupewa Kadi Nyekundu katika Dakika ya 87.
Everton wanaungana na Crystal Pakace kuingia Nusu Fainali huku Leo zikichezwa Mechi mbili za mwisho za Robo Fainali.Diego Costa kapewa kadi ya njano kwa kitendo hiki cha kukaba shingoni kipindi cha kwanza.VIKOSI:
Everton wanaoanza XI:
Robles, Coleman, Funes Mori, Jagielka, Baines, Cleverley, Barry, Lennon, McCarthy, Barkley, Lukaku
Everton akiba: Howard, Stones, Niasse, Besic, Osman, Deulofeu, Kone
Chelsea wanaoanza XI: Courtois, Azpilicueta, Cahill, Ivanovic, Kenedy, Mikel, Matic, Willian, Fabregas, Pedro, Diego Costa
Chelsea akiba: Begovic, Baba Rahman, Terry, Loftus-Cheek, Oscar, Traore, Remy