Saturday, March 19, 2016

FULL TIME: EVERTON 0 vs 2 ARSENAL, DANNY WELBECK NA ALEX LWOBI WAIPA KIPIGO EVERTON KWAO GOODISON PARK!


Arsenal bao zake zimefungwa na Danny Welbeck mapema dakikaya 7 na bao la pili limefungwa  na  Alex Iwobi dakika ya 42 kipindi cha kwanza na kwenda mapumziko Arsenal ikiwa mbele ya bao 2-0 dhidi ya Wenyeji Everton kwenye Uwanja wa Goodison Park.