Tuesday, March 8, 2016

FA CUP, HULL CITY 0 vs 3 ARSENAL, OLIVIER GIROUD AFUNGA BAO MBILI NA THEO WALCOTT AKIFUNGA BAO MBILI NA KUIWEZESHA GUNNERS KWENDA ROBO FAINALI...KUKUTANA NA WEST BROMWICH ALBION!


Arsenal wamefanikiwa kuifunga Hull City bao 3-0 na kutinga hatua ya Robo Fainali ya FA Cup na sasa kucheza na West Bromwich Albion. Bao za Arsenal leo zimefungwa na Olivier Giroud dakika ya 41 na tena aliwafungia bao kipindi cha pili dakika ya 71 na Theo Walcott alifunga bao la tatu dakika ya 77 na kufanya bao kuwa 3-0. Dakika ya 88 Theo Walcott alifunga bao la nne na kufanya mtanange umalizike kwa bao 4-0 dhidi ya Hull City na mbele ya Mashabiki 20,993.3-0Wachezaji wa Arsenal wakipongezana4-0
Giroud akishangilia bao lake dakika ya 41 kwa kufanya 1-0 dhidi ya Hull CityGiroud akikatiza ndani ya 181-0Alipumzishwa Per Mertesacker baada ya kuumia na kupata muda kadhaa uwanjaniMeneja wa Hull BruceMeneja wa Arsenal, Arsene WengerNick Powel nae alipata huduma VIKOSI:
Hull:
Jakupovic, Maguire, Bruce, Davies, Elmohamady, Diame, Huddlestone, Meyler, Odubajo, Powell, Diomande.
Akiba: Taylor, Hernandez, Livermore, Aluko, Robertson, Kuciak, Tymon.

Arsenal: Ospina, Chambers, Mertesacker, Gabriel, Gibbs, Flamini, Elneny, Walcott, Iwobi, Campbell, Giroud.
Akiba: Ozil, Ramsey, Sanchez, Monreal, Macey, Reine-Adelaide, Willock. Referee: Kevin Friend