Thursday, March 10, 2016

FULL TME: LIVERPOOL 2 v 0 MANCHESTER UNITED


Anfield, ilikuwa ni Usiku wa furaha baada Mahasimu wakubwa kupambana na Liverpool kuifunga Manchester United 2-0 kwenye Mechi ya Kwanza ya Raundi ya Mtoano ya Timu 16 ya UEFA EUROPA LIGI.
Bao za Liverpool zilifungwa kila Kipindi na la kwanza kwa Penati ya Daniel Sturridge na la pili kufungwa na Roberto Firmino.
Klabu nyingine ya England ambayo ipo kwenye Mashindano haya ilitandikwa 3-0 huko Signal Iduna Park Jijini Dortmund, Germany na Borussia Dortmund.
Bao za Dortmund zilipigwa na Pierre-Emerick Aubameyang na Marco Reus aliepiga 2.
Mechi za Marudiano za Mashindano haya ni Wiki ijayo Alhamisi Machi 17.

Penati...1-0 Daniel Sturridge 20'Klopp wa LiverpoolVIKOSI:
Liverpool wanaoanza XI:
Mignolet, Clyne, Lovren, Sakho, Moreno, Can, Henderson, Lallana, Coutinho, Firmino, Sturridge
Liverpool akiba: Ward, Toure, Benteke, Allen, Origi, Smith, Ojo
Manchester United wanaoanza XI: De Gea, Varela, Smalling, Blind, Rojo, Schneiderlin, Fellaini, Memphis, Mata, Martial, Rashford
Man Utd akiba: Romero, Darmian, Riley, Carrick, Schweinsteiger, Weir, Herrera