Wednesday, March 2, 2016

FULL TIME: MANCHESTER UNITED 1 v 0 WATFORD, JUAN MATA AIBEBA UNITED OLD TRAFFORD!


Juan Mata akishangilia bao lake dhidi ya Watford aliponga na kufanya 1-0

Mpaka nyavuni...

Shangwe!

David de Gea akiokoa jahazi

Juan Mata

Louis van Gaal alimpa nafasi Dogo  Timothy Fosu-Mensah (aoneshe na yeye cheche zake)

(Meno Nje) Mwenyekiti David Gill joined co-chairman Avram Glazer (centre) and executive vice chairman Ed Woodward in the stands

Memphis Depay

Ander Herrera

Morgan Schneiderlin

Odion Ighalo chupuchupu apige bao kiulainiii!

Marcus Rashford (kati) akionesha Cheche zake

Schneiderlin

Juan Mata dakika ya 82 aliwafungia bao 1-0 Man United kwa mpira wa adhabu (friikiki) ambao uliingia moja kwa moja langoni mwa Watford.
VIKOSI:
Manchester United:
De Gea, Varela, Blind, Rojo, Fosu-Mensah, Schneiderlin, Herrera, Martial, Mata, Memphis, Rashford.
Subs: Romero, McNair, Darmian, Riley, Lingard, Rothwell, Weir.

Watford: Gomes, Nyom, Britos, Prodl, Holebas, Capoue, Watson, Behrami, Abdi, Deeney, Ighalo.
Subs: Pantilimon, Cathcart, Paredes, Ake, Suarez, Anya, Amrabat.
Referee: Mike Jones

Msimamo ulivyo kwa timu za juu