Saturday, March 5, 2016

PREMIER LEAGUE: CHELSEA 1 vs 1 STOKE CITY, MAME DIOUF AIBANA MBAVU DARAJANI BLUES LEO KWA KUSAWAZISHA BAO DAKIKA ZA LALA SALAMA!

Watazamaji: 41381 
Chelsea bao lake limefungwa na Bertrand Traore 39.

Stoke City  bao lake la kusawazisha limefungwa na  Mame Diouf 85