Sunday, March 20, 2016

FULL TIME: SOUTHAMPTON 3 v 2 LIVERPOOL, MANE SHUJAA WAKIWACHINJA MAJOGOO...AKIFUNGA BAO MBILI NA PELLE!


Southampton wametoka nyuma ya bao 2-0 na kufunga bao 3-2 Liverpool, Wakiongozwa na Mwamuzi R. East leo hii kwenye Uwanja wa Southampton Saint James Park bao za Southampton zilifungwa na S. Mané dakika ya 64 na kisha kuongeza bao jingine dakika ya 86 na dakika ya 83 G. Pellè aliwapa bao la ushindi Southampton.
Mane afunga bao
Liverpool waliongoza 2-0 huko Saint Mary Stadium hadi Haftaimu lakini walitandikwa 3-2 na Southampton wakati huko Saint James Park Dabi ya Tyne-Wear ilimalizika kwa Sare ya 1-1 kati ya Newcastle na Sunderland.
Liverpool waliitangulia Southampton kwa kufunga Bao 2 kupitia Phillipe Coutinho na Daniel Sturridge lakini katika Nusu Saa ya mwisho Southampton walizinduka na kupiga Bao 3 kupitia Sadio Mane na Graziano Pelle huku pia Mane akikosa Penati.

2-0Liverpool wanaongoza bao 2-0, Bao zilizofungwa na Philippe Coutinho dakika ya 17 na bao la pili lilifungwa na Divock Okoth Origi.
VIKOSI:
Southampton:
Forster, Martina, van Dijk, Fonte, Bertrand, Steven Davis, Romeu, Clasie, Tadic, Long, Pelle.
Akiba: Cedric, Yoshida, Mane, Wanyama, Ward-Prowse, Juanmi, Stekelenburg.

Liverpool: Mignolet, Clyne, Lovren, Sakho, Flanagan, Lallana, Allen, Can, Coutinho, Sturridge, Origi.
Akiba: Toure, Benteke, Henderson, Skrtel, Smith, Ward, Ojo.
Refa: Roger East