Sunday, March 20, 2016

FULL TIME, SPANISH PRIMERA DIVISIÓN: VILLARREAL 2 v 2 BARCELONA, VILLARREAL WAIBANA BARCA KILELENI LEO NA KUUMALIZA KWA SARE!

Ivan Rakitic dakika ya 20'
Neymar dakika ya 41 kwa mkwaju wa penati

Mbele ya Watazamaji : 24,398
 Villarreal walisawazisha bao zote mbili
Cédric Bakambu 57' •
Jérémy Mathieu 63' OG •