Sunday, March 6, 2016

FULL TIME: WEST BROMWICH ALBION 1 v 0 MANCHESTER UNITED, SALOMON RONDON AICHAPA MAN UNITED, MATA AKIONDOLEWA KWA KADI NYEKUNDU!

BAO la Dakika ya 66 la Jose Salomon Rondon limewapa West Bromwich Albion ushindi wa 1-0 walipocheza na Man United huko The Hawthorns na huo ni ushindi wa kwanza kwao katika Historia ya Ligi Kuu England.Mata akisepa nje baada ya kuondolewa kwa kupewa kadi nyekundu
Ushindi huo ulichangiwa hasa na Man United kucheza Mtu 10 kuanzia Dakika ya 25 baada ya Juan Mata kutolewa nje kwa Kadi Nyekundu baada ya kulambwa Kadi za Njano 2 ndani ya Dakika 3 tu zote zikiwa ni sababu ya upuuzi wake binafsi. Kipigo hiki kimewashusha Man United hadi Nafasi ya 6West Bromwich Albion walifungiwa bao na  Salomon Rondon dakika ya 66Juan Mata has not scored for Manchester United since a Nov. 7 win vs. West Brom.Juan Mata nje kwa kadi nyekunduMata nje!VIKOSI:
West Brom:
Foster, Dawson, McAuley, Olsson, Chester, Sessegnon, Yacob, Fletcher, Gardner, Rondon, Berahino.
Akiba: Anichebe, Myhill, McClean, Pocognoli, Lambert, Pritchard, Sandro.
Man Utd: De Gea, Darmian, Smalling, Blind, Rojo, Herrera, Carrick, Lingard, Mata, Martial, Rashford.
Akiba: Depay, Romero, Fellaini, Schneiderlin, Varela, Weir, Fosu-Mensah.