Saturday, March 5, 2016

FULL TIME: YANGA 2 v 2 AZAM FC, ZASHINDWA KUTAMBIANA TAIFA LEO

Donald Ngoma anaipachikia bao la pili kwa kufanya 2-1 dhidi ya Azam Fc dakika ya 41Mchezo wa 14 huu.