Saturday, March 26, 2016

FULL TIME: INTERNATIONAL FRIENDLY: GERMANY 2 v 3 ENGLAND, ERIC DIER AIPA USHINDI ENGLAND OLYMPIASTADION BERLIN GERMANY

Eric Dier dakika ya 90 aliipatia bao la Ushindi England na kufanya 3-2 dhidi ya Wenyeji wao Germany kwenye Uwanja wa Olympiastadion, Berlin, Germany na mtanange kumalizika kwa 3-2 England wakiibuka kidedea. Mechi hii England imetoka nyuma ya bao 2-0 na kusawazisha zote na hatimae kuibuka kidedea.Kane akitambaKipindi cha pili dakika ya 57 Mario Gomez alitupia bao huku England wakifunga bao la kwanza kupitia kwa Harry Kane dakika ya 61 na kufanya 2-1 Jamie Vardy dakika ya 74 aliisawazishia England na kufanya 2-2 dhidi ya Timu Germany kwenye Uwanja wa lympiastadion, Berlin, Germany.Toni Kroos akipongezwa kwa bao Toni Kroos awatangulizia bao Germany dakika ya 43 dhidi ya England