Sunday, March 13, 2016

FULL TIME: MANCHESTER UNITED 1 v 1 WEST HAM UNITED, MARTIAL AIOKOA UNITED OLD TRAFFORD DAKIKA ZA MWISHONI!

Martial akishangilia bao lake la kusawazisha dakika za mwishoni kwa kufanya 1-1Martial alisawazisha bao hilo dakika ya mwishoni na mtanange kumalizika kwa 1-1
Furaha ya bao...Poyet akipongezwaPayet dakika ya 68 aliipatia bao la kuongoza West Ham kwa mpira wa adhabu wa friikiki ambao ulipindio ndani ya nyavu la lango la Man United.Carroll chini akiwa na usongo wa kupata baoPatashikia Fellaini na Carroll wakichuana kuutafuta mpira wa kichwa
VIKOSI:
Manchester United wanaoanza XI:
De Gea, Varela, Smalling, Blind, Rojo, Carrick, Fellaini, Herrera, Lingard, Martial, Rashford
Man Utd akiba: Romero, Darmian, Williams, Schneiderlin, Schweinsteiger, Januzaj, Memphis
West Ham United wanaoanza XI: Randolph, Antonio, Reid, Ogbonna, Cresswell, Kouyate, Noble, Lanzini, Payet, Emenike, Carroll
West Ham akiba: Adrian, O'Brien, Song, Obiang, Moses, Valencia, Sakho
Ro-Shaun Williams
Bastian Schweinsteiger