Sunday, March 20, 2016

FULL TIME: TOTTENHAM HOTSPUR 3 v 0 AFC BOURNEMOUTH, HARRY KANE AIKAANGA BOURNEMOUTH LEO!

Shangwe!Harry Kane akiendeshana na Steve Cook na kufunga bao
AFC Bournemouth tayari wamefungwa bao la kwanza na Kane Dakika ya 1
Dakika ya 16tena Harry Kane anaipatia bao la pili kwa kufanya 2-0 dhidi ya Timu ya AFC Bournemouth.