Thursday, March 24, 2016

MASANJA KUKANDAMIZA NDANI YA LONDON JUMATATU YA PASAKA


Huyu mtu wa Ze Orijino Komedi atauteka mji wa London kwa kuwavunja mbavu siku ya jumatatu ya Pasaka Tarehe 28/03/2016 kuanzia saa kumi ( 16:00) jioni mpaka saa mbili (20:00) usiku UKUMBI NI:St Bartholomew's292B Barking RoadEast HamLondonE6 3BAKiingilio ni £5 (dala) tu...!Njoo na wanao mcheke kidogo muondoe mastress ya Box na BaridiVinywaji na misosi vitakuwepoWasiliana na Flora tel:+447916160641 kwa maelezo zaidi
NB: HAKIKISHA UNAKUJA NA MBAVU ZA AKIBA