Saturday, March 26, 2016

NGUMI KUPIGWA KESHO UWANJA WA NDANI WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM

Mabondia Abdalla Pazi 'Dulac Mbabe' kushoto akitambiana na Mada Maugo baada ya kumaliza kupima uzito kwaajili ya mpambano wao wa ubingwa wa UBO Afrika utakaofanyika jumapili ya pasaka march 27 kesho katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa Taifa jijini Dar es salaam. Abdalla Pazzi na Mada Maugo