Saturday, March 5, 2016

FULL TIME: TOTTENHAM HOTSPUR 2 v 2 ARSENAL, ALEXIS SANCHEZ AIOKOA KIPIGO GUNNERS DABI IKIMAIZIKA KWA SARE!

Sanchez akishangilia bao lake la kusawazishaKipa David Ospina akifungwa bao la piliAlexis Sanchez anaisawazishia bao Arsenal dakika ya 76 na kufanya 2-2Harry Kane dakika ya 62 aliipa bao la kuongoza Spurs kwa kufanya 2-, Kabla ya hapo wa Mchezaji wa  Tottenham Hotspur Toby Alderweireld dakika ya 60 aliisawazishia bao kwa kufanya 2-1. Dakika ya 55 kipindi cha pili Francis Coquelin wa Arsenal alioneshwa kadi ya pili ya njano na kuondoshwa kwa kadi nyekundu Uwanjani na Hapo Arsenal wakacheza pungufu 10 Uwanjani na mambo kuwaendea vibaya kuanzia hapo.
1-0Aaron Ramsey dakika ya 39 anaifungia bao la kuongoza 1-0VIKOSI:
Tottenham:
Lloris; Walker, Alderweireld, Wimmer, Rose; Dembele, Dier; Lamela, Eriksen, Alli; Kane
Akiba: Vorm, Davies, Trippier, Carroll, Chadli, Mason, Son

Arsenal: Ospina; Bellerin, Mertesacker, Gabriel, Gibbs; Elneny, Coquelin; Ramsey, Ozil, Sanchez; Welbeck
Akiba: Macey, Chambers, Monreal, Flamini, Campbell, Walcott, Giroud
Msimamo ulivyo