Tuesday, March 15, 2016

RAIS DKT MAGUFULI AMEWAAPISHA WAKUU WA MIKOA IKULU LEO JIJINI DAR


Wakuu Wateule wa Mikoa wakisubiri kuapishwa na Rais

Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo naMh Angellah Kairuki

Wakuu wa Mikoa wapya kabla ya kuapishwa wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri Ikulu,mapema leo jijini Dar

Wageni waalikwa mbalimbali wakiwemo viongozi wa Ulinzi na Usalama

Wakuu wa Mikoa wakitia Saini hati kiapo cha Maadili ya viongozi wa Umma leo mara baada kuapishwa Ikulu jijini Dar