Thursday, March 10, 2016

RICH MAVOKO ASAINI KATIKA LABEL YA "WCB" KWA DIAMON

Mmoja kati ya member wa ‘label’ ya WCB, Harmonize amethibitisha kuwa Rich Mavoko ni mmoja kati ya wasanii wa label hiyo. Akizungumza katika kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio Jumatano hii, Harmonize alisema label ya WCB ina wasanii watatu yeye mwenyewe , Raymond aliyekuwa Tip Top Connection pamoja na Rich Mavoko. “Unajua mwanzo zilikuwa ni tetesi lakini naweza kusema ‘its official’ sasa Rich Mavoko yupo chini ya WCB,” alisema HarmonizeRich Mavoko