Thursday, March 31, 2016

SHOMARI KAPOMBE AKABIDHIWA KITITA CHAKE KWA KUIBUKA MCHEZAJI BORA WA LIGI KUU VODACOM

Mchezaji wa timu ya Azam FC ya jijini Dar es Salaam Shomary Kapombe jana amekabidhiwa kitita cha shilingi Milioni 1/- kutokana na kuibuka kuwa mchezaji bora wa ligi ya soka ya VPL inayoendelea kwa kipindi cha mwezi Januari mwaka huu. Kapombe amekabidhiwa kitita hicho kutoka kwa mdhamini wa waligi hiyo Vodacom Tanzania katika uwanja wa klabu anayoichezea uliopo maeneo ya Chamanzi,jijini Dar es Salaam. Akiongea muda mfupi baada ya kukabidhiwa zawadi hiyo ikiwa ni tuzo ya uchezaji bora,Kapombe alisema amefurahia kuwa miongoni mwa wachezaji waliopata tuzo tuzo na kuongeza