Tuesday, March 8, 2016

TETESI: TONI KROOS ANUKIA OLD TRAFORD!


Umri wa Mchezaji wa Man United Michael Carrick umesogea sana hivyo Man United wanataka kumchukuwa Mchezaji huyo Toni Kroos ili achukuwe mikoba yake.