Wednesday, March 16, 2016

UEFA CHAMPIONS LEAGUE: BAYERN MUNICH 4 v 2 JUVENTUS (Agg 6 - 4) MULLER AFUNIKA WAKIIANGAMIZA JUVE DAKIKA ZA MAJERUHI NA NDANI YA DAKIKA 120


BAO za Bayern Munich zimefungwa na 
Robert Lewandowski 73' •
Thomas Müller 90' +1' •
Thiago Alcantara 108' •
Kingsley Coman 110' •
 Juventus ndio walioanza kuifunga bao 2-0 Bayern kupitia kwa 
• Paul Pogba 5'
• Juan Cuadrado 28
2-22-0
Allianz Arena Jijini Munich, Bayern Munich walitoka nyuma kwa Bao 2-0 hadi Mapumziko na kupata Sare ya 2-2 na Juventus na hivyo kulazimisha Gemu kwenda Dakika za Nyongeza 30 na wao kupiga Bao 2 nyingine katika kipindi hicho na kuibuka kidedea ka Bao 4-2.Hii ililazimika kwenda Dakika za Nyongeza 30 kwa vile kwenye Mechi ya Kwanza iliyochezwa Turin Nchini Italy zilitoka 2-2.
Kwenye Mechi ya Jana, Paul Pogba na Juan Cuadrado waliitanguliza Juve 2-0 lakini
Robert Lewandowski akafufua matumaini ya Juve kwa kufunga Bao la kwanza na katika Dakika ya 91 Thomas Muller akasawazisha na Gemu kwenda muda wa nyongeza.
Katika Dakika za Nyongeza 30, Bayern walipiga Bao 2 kupitia Thiago and Kingsley Coman na kushinda 4-2.

Arturo Vidal na Douglas Costa
Arturo Vidal na Douglas Costa

VIKOSI:
Bayern Munich XI:
Neuer, Alaba, Benatia, Lahm, Kimmich, Vidal, Alonso, Ribery, Costa, Muller, Lewandowski
Juventus XI: Buffon, Lichtsteiner, Barzagli, Bonucci, Evra, Cuadrado, Khedira, Hernanes, Pogba, Alex Sandro, Morata